Prof Anna Tibaijuka defends her seat as MP of Muleba south constituency in Tanzania Parliament in the 2015 Tanzania Election
Share on:
Share on:
Share on:
Mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Tibaijuka akiwautubia maelfu ya wakazi wa kata ya Kishanda katika mfululizo wa kampeni za uchaguzi 2015.Pamoja na kuhutubia Prof Tibaijuka alimnadi mgombea udiwani wa kata hiyo ndugu Denis Charles Mtajwaa Share on:
13-10-2015 mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini Prof. Mama Anna Tibaijuka akimpokea mgombea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kata ya Kasharunga,Muleba Kusini . Share on:
11-10-2015 Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM Prof Anna Tibaijuka akinadi ilani ya CCM kwa wakazi wa kata ya Karambi na kutembelea baadhi ya vitongoji ikiwa ni pamoja na Rugasha,Bushoko.Akiwa kata ya Karambi alihitimisha kwa kufanya mkutano wa mwisho centre ya Madalena ambako kuliudhuliwa na umati mkubwa wa watu.(Picha na Kamanzi) […]
Mh. Prof Anna Tibaijuka akihutubia wakazi wa kata ya Kashasha jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Kashasha mapema jumamosi ya tarehe 03-10-2015.(Picha na Share on:
Share on:
Share on:
Share on:
Share on:
Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM. Share on:
03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna Tibaijuka kuwa mshindi wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa. Share on:
Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25 Share on: