Prof Anna Tibaijuka, akiwa katika mkutano wa kampeni kata ya kishanda 14-10-2015
Mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Tibaijuka akiwautubia maelfu ya wakazi wa kata ya Kishanda katika mfululizo wa kampeni za uchaguzi 2015.Pamoja na kuhutubia Prof Tibaijuka alimnadi mgombea udiwani wa kata hiyo ndugu Denis Charles Mtajwaa

Prof. Tibaijuka, mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM akiwajinadi kwa wakazi wa kata ya Kishanda katika kampeni za uchaguzi mkuu 2015

Maelfu ya wakazi wa kata ya Kishanda wajitokeza kusikiliza sera za mgombea Ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka

Maelfu ya wakazi wa kata ya Kishanda wajitokeza kusikiliza sera za mgombea Ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka