Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Category archives for: Chama cha mapinduzi

12-08-2016 Profesa Anna Tibaijuka(Mb) audhulia hafla ya kumkaribisha mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Tanzania Mh Dakt. John Pombe Magufuli

Share on:

11 Juni 2016 Prof Tibaijuka atembelea ofisi ndogo za CCM Lumumba Dar es salaam na kufanya mazungumzo na Katibu mkuu wa CCM komredi Abdulrahman Kinana.

Share on:

Tarehe 02/10/2015 Prof Tibaijuka akiwa katika mkutano wa kampeni kijiji cha Bugara kata ya Rulanda

Share on:

Mh. Prof Tibaijuka akiwa katika kampeni kata ya Mazinga, Muleba Kusini

Mh. Prof  AnnaTibaijuka, mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM  akiwanadi madiwani wa kata Mazinga. Share on:

Mkutano wa kampeni za Urasi na Ubunge jimbo la Muleba Kusini

Mgombea uraisi kupitia CCM Dr. John Magufuli na mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka wakiwa katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu  2015 uliofanyika Muleba Kusini, Septemba 2015(picha na Kamanzi) Share on:

Prof Anna Tibaijuka akiwa pamoja na umati wa watu kumpokea Dr. John Magufuli akitokea kigoma na kuingia Kalenga Kagera mpaka wa kigoma na Biharmulo

Share on:

Mh. Prof Tibaijuka akiwa kwenye kampeni Ikuza Mazinga

      Share on:

Prof Anna Tibaijuka akielekea katika uzinduzi wa kampeini wa diwani Futunatus Matta wa Ikuza jumatatu 14/9/2015

Share on:

Prof. mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge jimbo la Muleba kusini 12/09/2015

Katibu wa  CCM mkoa wa kagera mama Costansia Buhiye akimkabidhi ilani ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka mgombea ubunge   jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge. Share on:

Ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka

12/9/2015 Prof Mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM na mama Costansia Buhiye katibu wa  CCM mkoa wa kagera katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge   jimbo la Muleba Kusini   Share on:

Kwa Maendeleo ya Tanzania na Muleba Kusini chagua CCM, chagua Dr. John Pombe Magufuli na Prof Anna Kajumulo Tibaijuka

Share on:

Kwa maendeleo ya Muleba Kusini 2015 chagua Anna Kajumulo Tibaijuka

Share on:

Umati wa wananchi ukimsindikiza Prof Anna Tibaijuka mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika kura ya maoni

Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM.   Share on:

Prof Anna K.Tibaijuka ashinda kwa kishindo kura za maoni za chama cha Mapinduzi jimbo la Muleba Kusini

03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna  Tibaijuka kuwa mshindi  wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa.     Share on:

Prof Anna Tibaijuka akipiga kura katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro tarehe 01/08/2015

Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25   Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya