Mkutano wa kampeni za Urasi na Ubunge jimbo la Muleba Kusini
Mgombea uraisi kupitia CCM Dr. John Magufuli na mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka wakiwa katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 uliofanyika Muleba Kusini, Septemba 2015(picha na Kamanzi)

Prof Anna Tibaijuka akisalimiana na Dr John Magufuli katika mkutano wa kampeni za uchaguzi 2015 jimbo la Muleba Kusini

Dr John Magufuli akihutubia wakazi wa Muleba Kusini katika mkutano wa Kampeni za uraisi jimbo la Muleba Kusini.

Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka akiingia katika viwanja vya kufanyia a mkutano wa kampeni za uchaguzi 2015 Muleba Kusini