Prof Anna K.Tibaijuka ashinda kwa kishindo kura za maoni za chama cha Mapinduzi jimbo la Muleba Kusini
03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna Tibaijuka kuwa mshindi wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa.