Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Category archives for: Prof Tibaijuka’s Daily Photo News

Death of IESCO Founder in Beijing Dr. Jiang Mingjun, 1956-2017. RIP shocks Africa

Prof. Anna Tibaijuka has sent a  condolences letter to IESCO. Deputy Director General, Dr. Fengping SHAN The Barbro School community is shocked and in  mourning at the loss of an Important financial Supporter Dr. Mingjun visited the School on 17 August 2013 and again a group from IESCO visited the School again on 8 February […]

Prof Anna Tibaijuka(MP) attends 11th form six graduation ceremony for the Barbro Johanson Model Girls’ Secondary School

On 25th March 2017 Muleba south member of parliament, Hon. Prof Anna Tibaijuka attends Form six 11th graduation ceremony for the Barbro Johanson Model Girls’  Secondary School held in Dar es salaam. Share on:

Goodbye Sr. George Kahama.You were our inspiration form childhood and our role model.Rest in peace we love you – Bishop Method Kilaini

Share on:

Mama Tibaijuka akionyesha mfano wa jinsi ya kupanda mihogo nyumbani kwake Dar es salaam

Mama akionyesha mfano bora kupanda mihogo katika bustaninya nyumbani kwake mikocheni Dar es salaam. 14/03/2017.     Share on:

Mtandao wa Equality For Her umemtaja Prof.Tibaijuka miongoni mwa wanawake majasiri,hodari shujaa ktk kupigania haki za wanawake na maendeleo kwa ujumla Duniani.

Mtandao wa Equality For Her umemtaja Prof.Tibaijuka miongoni mwa wanawake majasiri,hodari shujaa ktk kupigania haki za wanawake na maendeleo kwa ujumla Duniani.Mtandao huu wenye makao yake makuu New York nchini Marekani,ni mtandao ambao umekua ukitambua na kuenzi juhudi na mchango wa wanawake hodari na jasiri duniani kote katika kupigania haki na maendeleo.Kwa mara ya kwanza […]

SIKU WA WANAWAKE DUNIANI: Prof Tibaijuka apata tuzo ya uongozi bora kimataifa na kitaifa

8/03/2017 Siku ya wanawake duniani. New Mwanza Hotel. Anita Zimbihile kutoka Muleba alipata tuzo ya uigizaji bora. Mhe Vicky Kamata  (Mbunge Viti Maalum) tuzo ya mwimbaji bora. Professor tuzo ya uongozi bora kimataifa na kitaifa. Mama Maria Nyerere tuzo ya UONGOZI ULIOTUKUKA. Godfrey Mgaya mjukuu wa Mama Maria ndiye alipokea tuzo kwa niaba ya bibi […]

24/02/2017 Prof Anna Tibaijuka audhulia mdahalo wa wanafunzi wa Barbro Johansson na Shule ya sekondari ya Pugu

Mdahalo wa wanafunzi wa Barbro School ya DSM na wageni wao kutoka Shule ya Wavulana ya Pugu. Profesa amekaa na Mwl Mkuu Halima Kamote na wanafunzi kutoka Sweden ambao wanatembelea shule hiyo. Mada Ilikuwa “Ugunduzi wa Sayansi na Technologia umeweka maisha ya mwanadamu hatarini”. Barbro ilikuwa inatetea mada ikiwa upande wa Serikalu na Pugu Boys […]

MADAWA YA KULEVYA, VIROBA NA SIGARA – HATARI TUPU KWA VIJANA WASIOWEZA KUJIZUIA – (Sehemu ya Kwanza).

Na  Profesa Anna Tibaijuka Vita dhidi ya madawa ya kulevya hivi sasa ndilo jambo linalotawala shughuli za taifa letu. Jambo hili ni mojawapo ya matunda na mafanikio ya Serikalli ya Awamu ya Tano ya Rais Dk. John Pombe Magufuli. Yeye na majemadari wake katika vita hii wanastahili pongezi na ushauri na si kejeli wanapokosea. Nitatofautina […]

10-02-2016 Mapokezi ya ambulance hospitali ya wilaya Rubya Jimbo la Muleba Kusini kama utekelezaji wa ahadi husika

Hatimaye yaliyotabiriwa sasa yametimia. Mtakumbuka kuwa mnamo tarehe 19. 09.2016 Wakati wa Ziara ya Mh. Waziri Ummy Mwlm. Muleba kule Rubya Hospital. Mh. Mbunge Prof. Tibaijuka alimuomba Mh. Waziri kuwa baada ya Kaigara na Kimeya kupata Ambulance, ni vema tukapata Ambulance nyingine hapa Hospitali teule ya Rubya. Mh. Waziri alikubali na leo hatimaye ahadi imetimia. […]

TAREHE 4/02/2017 PROF ANNA TIBAIJUKA ALITEMBELEA KIWANDA CHA MAGODORO ASILI DODOMA.

Mhe Profesa Anna Tibaijuka alitembelea kiwanda tajwa na kununua magodoro 80 kwa ajili ya kituo cha watoto walemavu wa akili cha Muyuji Chesire Home cha Dodoma. Kituo hicho kibahudumia watoto kutoka Tanzania nzima. Gharama ya magodoro ya 80 ya 3×6 =Shs 5,672,000/- imelipwa kutokana na michango iliyofanywa na Wabunge kusaidia kituo hicho chini ya uhamasishaji […]

0n 01/12/2016 Founding Chairperson of Joha Trust,Prof Tibaijuka and Chairperson of Joha Trust Sweden Gun-Britt Anderson visits Barbro Johansson Model Girls secondary school

  Share on:

On 24/11/2016 the South African Minister for Human Settlements Hon.LINDIWE SISULU hands a trophy and certificate to Hon Professor Anna Tibaijuka of Tanzania winner of the 2016 Govan Mbeki Lifetime Achievement Award

On 24/11/2016 in DURBAN, the South African Minister for Human Settlements Hon.LINDIWE SISULU hands a trophy and certificate to Hon Professor Anna Tibaijuka of Tanzania winner of the 2016 Govan Mbeki Lifetime Achievement Award at the colourful award ceremony held at the International Convention Centre in Durban South Africa. Currently a Member of Parliament in […]

Tarehe 21/11/2016 Prof.Tibaijuka ameshiriki mkutano wa Wiki ya Maji Kenya uliofanyika katika ukumbi wa Kenyatta International Conference Centre(K.I.C.C)

Tarehe 21/11/2016 Prof.Tibaijuka ameshiriki mkutano wa Wiki ya Maji Kenya. Mkutano umefanyika katika ukumbi wa KENYATTA  INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE  (K.I.C.C) na kushirikisha wadau na taasisi mbalimbali duniani. Miongoni mwa washiriki ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Kenya Mhe.Eugene Wamalwa, naibu Waziri mkuu na Waziri wa mambo ya nje wa Ubelgiji Mhe. Didier Reynders. Pamoja na […]

IMPORTANT NOTICE

!IMPORTANT NOTICE! Dear members of the public, I would like to inform you that con artists have set up a Facebook page in my likeness, falsely claiming that I am offering employment opportunities. The Facebook page in question can be seen below. Please note that this Facebook page does NOT belong to me: it is […]

NDUGU ZANGU WAPENDWA,NAPENDA KUWATAHADHARISHA JUU YA UKURASA HUU WA FACEBOOK KAMA UNAVYO ONEKANA HAPO CHINI.

TAHADHARI!TAHADHARI!TAHADHARI!!TAHADHARI!! NDUGU ZANGU WAPENDWA,NAPENDA KUWATAHADHARISHA JUU YA UKURASA HUU WA FACEBOOK KAMA UNAVYO ONEKANA HAPO CHINI. UKURASA HUU SIO WA KWANGU WALA SIUFAHAMU,IVYO BASI NA TAARIFA ZOTE ZILIZOANDIKWA KWENYE UKURASA HUU NI UWONGO NA HAZITOKI KWANGU, WALIO TENGENEZA UKURASA HUU NI MATAPELI NA WANATAFUTA KUCHAFUA JINA LANGU NA KUWATAPELI WATU.NINAWAOMBA MPUUZE TAARIFA HIZI NA WALA […]

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya