Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Category archives for: Election

Prof Anna Tibaijuka defends her seat as MP of Muleba south constituency in Tanzania Parliament in the 2015 Tanzania Election

Share on:

Pof Tibaijuka akiwa katika mkutano wa kampeni kata BISHEKE 16-10-2015

  Share on:

Prof Anna Tibaijuka, akiwa katika mkutano wa kampeni kata ya kishanda 14-10-2015

Mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Tibaijuka akiwautubia maelfu ya wakazi wa kata ya Kishanda katika mfululizo wa kampeni za uchaguzi 2015.Pamoja na kuhutubia Prof Tibaijuka alimnadi mgombea udiwani wa kata hiyo ndugu Denis Charles Mtajwaa   Share on:

Mapokezi ya mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili ,Muleba Kusini

13-10-2015 mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini Prof.  Mama Anna Tibaijuka akimpokea mgombea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kata ya Kasharunga,Muleba Kusini . Share on:

Prof Anna Tibaijuka akiwa katika mkutano wa kampeni za Ubunge kata ya Karambi, Muleba

11-10-2015 Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM Prof Anna Tibaijuka akinadi ilani ya CCM kwa wakazi wa kata ya Karambi na kutembelea baadhi ya vitongoji ikiwa ni pamoja na Rugasha,Bushoko.Akiwa kata ya Karambi alihitimisha kwa kufanya mkutano wa mwisho centre ya Madalena ambako kuliudhuliwa na umati mkubwa wa watu.(Picha na Kamanzi) […]

03-10-2015 mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM,Prof Anna Tibaijuka akiwa katika mkutano wa kampeni kata Kashasha

Mh. Prof Anna Tibaijuka akihutubia wakazi wa kata ya Kashasha jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Kashasha mapema jumamosi ya tarehe 03-10-2015.(Picha na  Share on:

Prof Anna Tibaijuka akiwa pamoja na umati wa watu kumpokea Dr. John Magufuli akitokea kigoma na kuingia Kalenga Kagera mpaka wa kigoma na Biharmulo

Share on:

Prof Anna Tibaijuka akielekea katika uzinduzi wa kampeini wa diwani Futunatus Matta wa Ikuza jumatatu 14/9/2015

Share on:

Kwa Maendeleo ya Tanzania na Muleba Kusini chagua CCM, chagua Dr. John Pombe Magufuli na Prof Anna Kajumulo Tibaijuka

Share on:

Kwa maendeleo ya Muleba Kusini 2015 chagua Anna Kajumulo Tibaijuka

Share on:

Umati wa wananchi ukimsindikiza Prof Anna Tibaijuka mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika kura ya maoni

Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM.   Share on:

Prof Anna K.Tibaijuka ashinda kwa kishindo kura za maoni za chama cha Mapinduzi jimbo la Muleba Kusini

03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna  Tibaijuka kuwa mshindi  wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa.     Share on:

Prof Anna Tibaijuka akipiga kura katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro tarehe 01/08/2015

Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25   Share on:

Prof Anna Tibaijuka akiomba ridhaa ya kuongoza kwa kipindi kijacho kwa wananchi wa Nyakabango kata ya Kimwani

  Share on:

Vikundi 848 vya kijamii vyamchangia Prof Tibaijuka pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Muleba Kusini

  Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya