Umati wa wananchi ukimsindikiza Prof Anna Tibaijuka mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika kura ya maoni
Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM.