SIKU WA WANAWAKE DUNIANI: Prof Tibaijuka apata tuzo ya uongozi bora kimataifa na kitaifa
8/03/2017 Siku ya wanawake duniani. New Mwanza Hotel. Anita Zimbihile kutoka Muleba alipata tuzo ya uigizaji bora. Mhe Vicky Kamata (Mbunge Viti Maalum) tuzo ya mwimbaji bora. Professor tuzo ya uongozi bora kimataifa na kitaifa. Mama Maria Nyerere tuzo ya UONGOZI ULIOTUKUKA. Godfrey Mgaya mjukuu wa Mama Maria ndiye alipokea tuzo kwa niaba ya bibi yake.













