03-10-2015 mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM,Prof Anna Tibaijuka akiwa katika mkutano wa kampeni kata Kashasha
Mh. Prof Anna Tibaijuka akihutubia wakazi wa kata ya Kashasha jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Kashasha mapema jumamosi ya tarehe 03-10-2015.(Picha na

















