Prof Anna Tibaijuka akiwa katika mkutano wa kampeni za Ubunge kata ya Karambi, Muleba
11-10-2015 Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM Prof Anna Tibaijuka akinadi ilani ya CCM kwa wakazi wa kata ya Karambi na kutembelea baadhi ya vitongoji ikiwa ni pamoja na Rugasha,Bushoko.Akiwa kata ya Karambi alihitimisha kwa kufanya mkutano wa mwisho centre ya Madalena ambako kuliudhuliwa na umati mkubwa wa watu.(Picha na Kamanzi)




















