Vikundi 848 vya kijamii vyamchangia Prof Tibaijuka pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Muleba Kusini

Vikundi vya maendeleo ya kijamii kutoka kata 14 za jimbo la muleba kusini vilifika nyumbani kwa Prof Anna Tibaijuka kumtembelea na kumchangia pesa tsh 555,500/=kwa ajiri ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Muleba kusini .Kila kikundi kilituma muwakilishi mmoja nyumbani kajumulo faundition kagabiro tarehe 6/7/2015













