Prof Anna Tibaijuka akipiga kura katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro tarehe 01/08/2015
Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25

















