Ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka
12/9/2015 Prof Mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM na mama Costansia Buhiye katibu wa CCM mkoa wa kagera katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini