Prof. mama Anna Tibaijuka akikabidhiwa ilani ya CCM katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge jimbo la Muleba kusini 12/09/2015
Katibu wa CCM mkoa wa kagera mama Costansia Buhiye akimkabidhi ilani ya CCM Prof. Mama Anna Tibaijuka mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za ubunge.