Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Category archives for: Prof Tibaijuka’s Daily Photo News

12-08-2016 Profesa Anna Tibaijuka(Mb) audhulia hafla ya kumkaribisha mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Tanzania Mh Dakt. John Pombe Magufuli

Share on:

Mh. Profesa Anna Tibaijuka akiwa katika sherehe ya arusi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sheria Mh. Amon Mpanju jijini Dar es salaam

  Share on:

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametembelea Wilaya ya Muleba na kufika Rubya, hospitali teule ya Wilaya inayomilikiwa na kanisa katoliki.

MULEBA 15 JULAI 2016 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametembelea Wilaya ya Muleba na kufika Rubya,  hospitali teule ya Wilaya inayomilikiwa na kanisa katoliki. Alipokelewa kwa shangwe kubwa na wafanyakazi na wauguzi  wanafunzi wote wakiongozwa na Mwashamu Askofu Methodius Kilaini,  Mkuu wa Wilaya ya Muleba, mkuu wa Mkoa, na Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini […]

23 June 2016 Profesa Anna Tibaijuka amewakaribisha bungeni na wanafunzi wa UDOM kuttoka wilaya ya Muleba

Tarehe 23 June 2016 mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka amewakaribisha bungeni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma wanaotoka wilaya ya Mulebakwa ajili ya ziara ya kimafunzo Share on:

Mbunge wa Muleba Kusini Prof Tibaijuka akiwa katika mahojiano na Star TV bungeni Dodoma 15 June 2016

  Share on:

11 Juni 2016 Prof Tibaijuka atembelea ofisi ndogo za CCM Lumumba Dar es salaam na kufanya mazungumzo na Katibu mkuu wa CCM komredi Abdulrahman Kinana.

Share on:

Prof. Tibaijuka, former WSSCC Chair and long standing member of WSSCC, arrived by local public transport to open the Council’s Annual National Coordinator’s meeting in Dar es salaam, Tanzania

On  8th June 2016 Prof A. Tibaijuka demonstrated once again her passion and commitment to drinking water, sanitation and hygiene. When on her way to the meeting venue Prof. Tibaijuka got stuck in a traffic jam, she decided to leave her car behind and hop on an informal local transport, the Bhajaj. During her openings message […]

Ziara ya wanafunzi wa shule ya wasichana ya Barbro Johansson Bungeni

M Share on:

Prof Tibaijuka debating the budget presentation of the Prime Ministers Office at the Tanzania Parliament in Dodoma.

Prof Tibaijuka debating the budget presentation of the Prime Ministers Office at the Tanzania Parliament in Dodoma. She welcomed the budget overall but observed that it was short on measures to help farmers, fishermen and livestock keepers in her constituency of Muleba South. For farmers she lamented the fact that Kagera region in general and […]

Prof Anna Tibaijuka(MP) attends form six graduation ceremony for the Barbro Johanson Model Girls’ Secondary School

On April 23, 2016 Muleba south member of parliament, Hon. Prof Anna Tibaijuka attends Form six graduation ceremony for the Barbro Johanson Model Girls’  Secondary School held in Dar es salaam. Share on:

Maombi ya dharura kutoka kwa mbunge wa Muleba Kusini kwenda kwa RC Mwanza kufuatia uvamizi wa majambazi katika kisiwa cha CHAKAZIMBWE kata ya Ikuza

RC Mwanza. Mkuu. Nakuletea maombi ya dharura. Tarehe 04/04/2016 kisiwa CHAKAZIMBWE KATA IKUZA WILAYA MULEBA majambazi yenye silaha yalivamia na kuiba injini 13 na mtumbwi 1. Halafu yakakimbilia WILAYA YA UKEREWE KISIWA GANA. Mapolisi kutoka Mazinga Muleba na wavuvi wakiongozwa na Afande James (0757940273 ) na Hamis(0784894837) wamefuatilia huko GANA siku 3 sasa. Wamefanikiwa kukamata […]

“CONGRATULATIONS TO THE PRIME MINISTER OF BAHRAIN”

H.R.H Prince Khalifa bin Salman Al Khalifa, Prime Minister of the Kingdom of Bahrain received a message from H.E Professor Anna K. Tibaijuka, retired Under Secretary General of the United Nations and immediate former Executive Director of the UN-HABITAT currently Member of Parliament and former Minister of Lands Housing and Human Settlements Development in the […]

Condolence message from His excellence Yoweri Kaguta Museveni to Hon. Prof Anna Tibaijuka

Click here to download the condelence message Share on:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa pole kwa Prof. Anna Tibaijuka kwa kufiwa na mama yake

Tarehe 15-03-2016 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa atoa pole kwa Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna Tibaijuka kwa kufiwa na mama yake mzazi Ma Aurelia Kajumulo.Waziri mkuu aliongozana na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Dk. Medard Kalemani na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni .   Share on:

Mhe, Prof. Anna Tibaijuka mbunge wa muleba kusini anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake mzazi Ma Auleria Kajumulo

Mhe, Prof. Anna Tibaijuka mbunge wa muleba kusini anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake mzazi Ma Auleria Kajumulo kilichotokea leo alhamisi tarehe 10.3.2016 katika hospitali ya kagondo msiba upo nyumbani kwa Profesa kagabilo tarehe ya mazishi itatangazwa baadae wanasubiliwa ndg kutoka Ulaya na Marekani. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina. Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya