23 June 2016 Profesa Anna Tibaijuka amewakaribisha bungeni na wanafunzi wa UDOM kuttoka wilaya ya Muleba

Profesa Tibaijuka(mb) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa UDOM kutoka wilaya ya Muleba Bungeni Dodoma
Tarehe 23 June 2016 mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka amewakaribisha bungeni wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma wanaotoka wilaya ya Mulebakwa ajili ya ziara ya kimafunzo













