Mhe, Prof. Anna Tibaijuka mbunge wa muleba kusini anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake mzazi Ma Auleria Kajumulo
Mhe, Prof. Anna Tibaijuka mbunge wa muleba kusini anasikitika kutangaza kifo cha Mama yake mzazi Ma Auleria Kajumulo kilichotokea leo alhamisi tarehe 10.3.2016 katika hospitali ya kagondo msiba upo nyumbani kwa Profesa kagabilo tarehe ya mazishi itatangazwa baadae wanasubiliwa ndg kutoka Ulaya na Marekani. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina.














