Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Archive for: January, 2016

On 13-01-2016 Hon. Prof Tibaijuka visits the CRDB Bank in Dar es salaam City Centre

Share on:

Mbunge wa Muleba kusini Prof Anna Tibaijuka atembelea studio za Azam TV jijini Dar es salaam 11-01-2016

Share on:

Muanzilishi wa BAWATA Prof Anna Tibaijuka(mb) amekutana na waasisi wa BAWATA

Muanzilishi wa Baraza la Wanawake Tanzania(BAWATA) Prof Anna Tibaijuka (mb) amekutana na waasisi wa BAWATA Kinondoni Dar es salaam tarehe 11-01-2015.     Share on:

8 January 2016 hayati Balozi Wilson Tibaijuka,mume wa Prof Anna Tibaijuka angefikisha miaka 71 ya kuzaliwa.

Tarehe 8-01-2016 Hayati Balozi Wilson Tibaijuka,mume wa Prof Anna Tibaijuka angefikisha miaka 71 ya kuzaliwa.Pichani ni mwaka 1988 akiwa amembeba mwanae Kagem nyumbani kwao Makongo juu jijini Dar es salaam.Balozi Tibaijuka alifariki mwaka 2000 akiwa na umri wa miaka 55.Apumzike kwa amani Share on:

Tarehe 7-1-2016 mbunge wa muleba Kusini,Prof Tibaijuka amekutana na balozi wa Sweeden nchini Tanzania.

Mbunge wa Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM Mh. Prof Anna Tibaijuka amekutana na balozi wa Sweeden nchini Tanzania tarehe 7-1-2016 jijini Dar es salaam. Share on:

Mh Prof Tibaijuka akikabidhiwa zawadi na mwl.Halima Kamote, mwalimu mkuu shule ya wasichana ya Barbro Johansson Model Girls’ Sec School

Share on:

Mh. Anna Tibaijuka(MB) ashiriki misa katika kanisa la katoliki parokia ya mikocheni,Dar es salaam jumapili ya tarehe 3-1-2016

Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya