8 January 2016 hayati Balozi Wilson Tibaijuka,mume wa Prof Anna Tibaijuka angefikisha miaka 71 ya kuzaliwa.
Tarehe 8-01-2016 Hayati Balozi Wilson Tibaijuka,mume wa Prof Anna Tibaijuka angefikisha miaka 71 ya kuzaliwa.Pichani ni mwaka 1988 akiwa amembeba mwanae Kagem nyumbani kwao Makongo juu jijini Dar es salaam.Balozi Tibaijuka alifariki mwaka 2000 akiwa na umri wa miaka 55.Apumzike kwa amani













