Tarehe 7-1-2016 mbunge wa muleba Kusini,Prof Tibaijuka amekutana na balozi wa Sweeden nchini Tanzania.
Mbunge wa Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM Mh. Prof Anna Tibaijuka amekutana na balozi wa Sweeden nchini Tanzania tarehe 7-1-2016 jijini Dar es salaam.













