Mh. Anna Tibaijuka(MB) ashiriki misa katika kanisa la katoliki parokia ya mikocheni,Dar es salaam jumapili ya tarehe 3-1-2016

Prof Tibaijuka akisalimiana na waumini wenzake mara baada ya misa ya jumapili kumalizika katika kanisa la katoliki parokia yamikocheni,Dar es salaam.
















