Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Archive for: August, 2015

Umati wa wananchi ukimsindikiza Prof Anna Tibaijuka mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika kura ya maoni

Prof Anna Tibaijuka akielekea nyumbani kwake Kagabiro na kusindikizwa na umati wa wananchi mara baada ya kutanganzwa kuwa mshindi wa kura ya maoni kupitia CCM.   Share on:

Prof Anna K.Tibaijuka ashinda kwa kishindo kura za maoni za chama cha Mapinduzi jimbo la Muleba Kusini

03/08/2015 katibu wa CCM wilaya ya Muleba Bw Nshange akimtangaza Prof Anna  Tibaijuka kuwa mshindi  wa kura za maoni kupitia CCM jimbo la Muleba Kusini amabapo alishida kwa kupata jumla ya kura 17425 sawa na 63% .Katika kinyang’anyiro hicho kulikuwa na jumla ya wagombea tisa.     Share on:

Prof Anna Tibaijuka akipiga kura katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro tarehe 01/08/2015

Tarehe 1/8/2015 Prof Anna Tibaijuka akipiga kura ya maoni katika kituo cha Tukutuku tawi la Kagabiro kuchagua Mbunge atakaye peperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu octoba 25   Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya