Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Mhe Prof Anna Tibaijuka (MP) akishiriki katika mazishi ya marehemu Deusdedit Mtambarike.

Buriani Deusdedit Mtambarike, DC Mstaafu Wilaya ya Muleba,

Mhe Prof Anna Tibaijuka, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alishiriki katika mazishi ya marehemu Deusdedit Mtambarike, huko Kimara Bofya, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Januari, 2004.
Katika picha ya tatu Prof. Tibaijuka anaonekana akikabidhi mchango wa Shs milioni moja kwa niaba ya Wananchi wa Muleba kwa ajili ya msiba kwa Mwenyekiti wa Kamati Bw. Kamba. Wengine waliosimama katika picha ni mke wa Rais Mustaafu Mhe Anna Mkapa, Jaji Mark Bomani na Mhe Waziri Stephen Wassira aliyeiwakilisha Serikali. CCM iliwakilishwa na Katibu Mwenezi Nape Mnauye.
Marehemu Mtambarike alisifiwa kwa utumishi wake uliotukuka Wilayani Muleba. Marehemu alifariki wakati wa matibabu huko Africa Kusini. Mungu amlaze mahala pema peponi.

 

Posted by on Jan 29 2014. Filed under Constituency. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can skip to the end and leave a response. Pinging is currently not allowed.

Leave a Reply

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya