Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

President Jakaya Kikwete visits Muleba

PRESIDENT Kikwete on July 2013 visits Muleba south constituency as a part of his five-day official visit in Kagera Region inspecting various Development projects in the Region.The President was accompanied by, among others, the Minister of Land, Housing and Human Settlements Hon. Prof. Anna Tibaijuka.

MLB 2

Mh Waziri wa Ardhi, Prof Anna Tibaijuka akicheza ngoma na kikundi cha ngoma ya
utamaduni aina ya Akasimbo, mbele ya Mh Rais Kikwete.

7

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua mradi wa maji wilayani muleba

MLB 3

Mh Rais Kikwete akizindua mradi wa maji wa Ihako uliofadhiliwa na UN-HABITAT kwa Tsh bil 2.6

8

Mwananchi mwingine akitwishwa maji

MLB 4

Mh Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mwanamke mkazi wa Kijiji cha
Kagabiro, wilayani muleba.

MLB 6

Mh Prof Jumanne Maghembe, waziri wa Maji na mtaalam wa Misitu akikagua ubora wa miche.
Na wengine katika picha ni Katibu wa CCM Tawi Kagabiro (Ndug Burchard Christian) na
Mwenyekiti wa CCM Tawi Kagabiro (Ndug Victor Furgence) wakisoma risala, Mh Kikwete
(Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), Mh Canal Massawe (Mkuu wa Mkoa wa Kagera)
na Mh Lembris Kipuyo (Mkuu wa Wilaya Muleba) na Mh Prof Anna Tibaijuka
(Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi; na Mbunge Jimbo la Muleba Kusini)

MLB 5

Mh Rais Kikwete akitembelea mradi wa uchumi wa tawi la CCM Kagabiro ambalo
Mh Prof Anna Tibaijuka ni mwanachama na Mh Prof Anna Tibaijuka ameanzisha
mradi huo wa kitalu cha miti 100,000 yenye thamamani ya Milion 10 za Kitanzania,
ili vijana wajitegemee.

9

Rais Kikwete akipozi na wafanyakazi wa kampuni ya uzalishaji mbegu ya Itente

6

Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiwahakikishia viongozi wa Muleba
juu ya mipango ya serikali kuleta meli za abiria mpya mbili katika ziwa Victoria

4

Rais Kikwete akiongea na viongozi wa wilaya ya Muleba baada ya kupokea taarifa ya
maendeleo, akiwa na mawaziri watano anaoongozana nao katika ziara hiyo

MLB 7

Katika Picha ni Bi MaAurelia Kajumulo, mama mzazi wa Mh Prof Anna Tibaijuka,
waziri wa ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi, akikabidhi zawadi za kimila kwa
Mh Rais Kikwete, ikiwa ni pamoja na Ndizi, Nafaka, Senene, na mkeka kwa ajili ya mke
wake mama Salma Kikwete.

2

 Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka

Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni

Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni

 

 

Posted by on Aug 10 2013. Filed under Muleba South Constituency. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can skip to the end and leave a response. Pinging is currently not allowed.

Leave a Reply

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya