Mhe. Prof. Anna K. Tibaijuka akijibu maswali bungeni
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna K. Tibaijuka akijibu maswali
bungeni baada ya kuwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa
mwaka wa fedha 2013-2014.