Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka

Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizindua mradi mpya wa kilimo kwanza jimboni Muleba Kusini

 

Katika picha ni Mh. Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini  ambaye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizindua, akisimamia na kuratibu mradi mpya wa Kilimo kwanza ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo na kuwafanyia majaribio vijana waliofika katika uzinduzi huo  jimbo mwake Muleba Kusini.

Posted by on Oct 16 2012. Filed under Muleba South Constituency. You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. You can skip to the end and leave a response. Pinging is currently not allowed.

Leave a Reply

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya