Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Archive for: February, 2017

24/02/2017 Prof Anna Tibaijuka audhulia mdahalo wa wanafunzi wa Barbro Johansson na Shule ya sekondari ya Pugu

Mdahalo wa wanafunzi wa Barbro School ya DSM na wageni wao kutoka Shule ya Wavulana ya Pugu. Profesa amekaa na Mwl Mkuu Halima Kamote na wanafunzi kutoka Sweden ambao wanatembelea shule hiyo. Mada Ilikuwa “Ugunduzi wa Sayansi na Technologia umeweka maisha ya mwanadamu hatarini”. Barbro ilikuwa inatetea mada ikiwa upande wa Serikalu na Pugu Boys […]

MADAWA YA KULEVYA, VIROBA NA SIGARA – HATARI TUPU KWA VIJANA WASIOWEZA KUJIZUIA – (Sehemu ya Kwanza).

Na  Profesa Anna Tibaijuka Vita dhidi ya madawa ya kulevya hivi sasa ndilo jambo linalotawala shughuli za taifa letu. Jambo hili ni mojawapo ya matunda na mafanikio ya Serikalli ya Awamu ya Tano ya Rais Dk. John Pombe Magufuli. Yeye na majemadari wake katika vita hii wanastahili pongezi na ushauri na si kejeli wanapokosea. Nitatofautina […]

10-02-2016 Mapokezi ya ambulance hospitali ya wilaya Rubya Jimbo la Muleba Kusini kama utekelezaji wa ahadi husika

Hatimaye yaliyotabiriwa sasa yametimia. Mtakumbuka kuwa mnamo tarehe 19. 09.2016 Wakati wa Ziara ya Mh. Waziri Ummy Mwlm. Muleba kule Rubya Hospital. Mh. Mbunge Prof. Tibaijuka alimuomba Mh. Waziri kuwa baada ya Kaigara na Kimeya kupata Ambulance, ni vema tukapata Ambulance nyingine hapa Hospitali teule ya Rubya. Mh. Waziri alikubali na leo hatimaye ahadi imetimia. […]

TAREHE 4/02/2017 PROF ANNA TIBAIJUKA ALITEMBELEA KIWANDA CHA MAGODORO ASILI DODOMA.

Mhe Profesa Anna Tibaijuka alitembelea kiwanda tajwa na kununua magodoro 80 kwa ajili ya kituo cha watoto walemavu wa akili cha Muyuji Chesire Home cha Dodoma. Kituo hicho kibahudumia watoto kutoka Tanzania nzima. Gharama ya magodoro ya 80 ya 3×6 =Shs 5,672,000/- imelipwa kutokana na michango iliyofanywa na Wabunge kusaidia kituo hicho chini ya uhamasishaji […]

Rais Magufuli. Mtetezi wa Wanyonge na Wajane. Tunakushukuru. Tunakupongeza. Tunakuombea. Uzi uwe ule ule.

Wanawake hatuna budi kumshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kututetea sisi wajane tunaonyanyaswa na mifumo dume na kuporwa haki zetu na watoto wetu. Jana Rais alitenda makuu kuagiza kwamba yule mama aliyekuwa ameonewa na kuhangaishwa kwa muda mrefu sio tu kesi yake isikilizwe lakini pia apewe ulinzi wa polisi. Kwa kumbukumbu zangu hii haijawahi kutokea […]

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya