Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Archive for: October, 2016

IMPORTANT NOTICE

!IMPORTANT NOTICE! Dear members of the public, I would like to inform you that con artists have set up a Facebook page in my likeness, falsely claiming that I am offering employment opportunities. The Facebook page in question can be seen below. Please note that this Facebook page does NOT belong to me: it is […]

NDUGU ZANGU WAPENDWA,NAPENDA KUWATAHADHARISHA JUU YA UKURASA HUU WA FACEBOOK KAMA UNAVYO ONEKANA HAPO CHINI.

TAHADHARI!TAHADHARI!TAHADHARI!!TAHADHARI!! NDUGU ZANGU WAPENDWA,NAPENDA KUWATAHADHARISHA JUU YA UKURASA HUU WA FACEBOOK KAMA UNAVYO ONEKANA HAPO CHINI. UKURASA HUU SIO WA KWANGU WALA SIUFAHAMU,IVYO BASI NA TAARIFA ZOTE ZILIZOANDIKWA KWENYE UKURASA HUU NI UWONGO NA HAZITOKI KWANGU, WALIO TENGENEZA UKURASA HUU NI MATAPELI NA WANATAFUTA KUCHAFUA JINA LANGU NA KUWATAPELI WATU.NINAWAOMBA MPUUZE TAARIFA HIZI NA WALA […]

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Dr. Yamungu Kayandabila akiwasilisha hotuba ya Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Makazi Habitat III mjini Quito Ecuador

Taarifa kwa Wabunge.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Dr. Yamungu Kayandabila akiwasilisha hotuba ya Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Makazi Habitat III mjini Quito Ecuador. Amesisitiza umuhimu wa jumuiya ya kimataifa kuzisaidia nchi maskini na zinazoendelea katika upatikanaji wa fedha za uendelezaji wa makazi yao. Amesema mwisho wa siku miji itafanana kama ilivyopewa uwezo […]

Ujumbe wa Tanzania katika ukumbi wa mkutano wa Habitat III Quito Ecuador

Delegation ya Tanzania katika ukumbi wa mkutano wa Habitat III Quito Ecuador. Kiongozi wa Msafara KM Wizara ya Ardhi Yamungu Karandabila. Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka Mkurugenzi Msaidizi Mipango Miji na vijiji Immaculata Senje Afisa Mipango Miji Mkuu Sada Sekiete na Afisa wa Mambo ya Nje Abilah Namwambe Share on:

My encounter with Mwalimu On Womens Rights and the formation of BAWATA by Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, Member of Parliament for Muleba South and Founding Chairperson of BAWATA.

My encounter with Mwalimu On Womens Rights and the formation of BAWATA   by  Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, Member of Parliament for Muleba South and Founding Chairperson of BAWATA.   While I have been for the most part an academic and therefore far removed from political and administrative processes on a regular basis during the […]

JPM amteua Prof Tibaijuka kuhudhuria mkutano a UN: Chanzo cha habari gazeti la Mzalendo

Share on:

Share on:

Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka akizungumza na wananchi wa Muleba siku chache baada ya kupata tuzo nchini Marekani

Share on:

Tarehe 02-10-2016 Prof Anna Tibaijuka ameshiriki misa ya jumapili, Bukoba Nyakijoga

Jumapili ya tarehe 02-10-2016 , Mbunge wa Muleba Kusini,Prof Anna Tibaijuka ameshiriki  misa Bukoba Nyakijoga pamoja na Mh Mwijage.   Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya