Ujumbe wa Tanzania katika ukumbi wa mkutano wa Habitat III Quito Ecuador
Delegation ya Tanzania katika ukumbi wa mkutano wa Habitat III Quito Ecuador. Kiongozi wa Msafara KM Wizara ya Ardhi Yamungu Karandabila. Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka Mkurugenzi Msaidizi Mipango Miji na vijiji Immaculata Senje Afisa Mipango Miji Mkuu Sada Sekiete na Afisa wa Mambo ya Nje Abilah Namwambe














