Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Archive for: March, 2015

Ziara ya Prof Anna Tibaijuka(MP) jimboni Muleba Kusini

Mbunge wa muleba kusini Prof  Anna Tibaijuka alitembelea kata ya kimwani kijiji cha kaguramo kitongoji cha kaazi nyakishabo na kulakiwa namamia ya wananchi waliopanda mlimani wakiwa na matawi ya miti huku wakiimba. Kaazi ni kambi kubwa ya wavuvi Mwenyekiti wa kitongoji cha Kaazi Nyakishabo Ndugu Ojax Dorolyma Lyapa alionyesha furaha yake kwa kusoma risala ya […]

Hon. Prof Anna Tibaijuka pays her last respects to the body of Mbinga North Member of parliament, late Capt John Komba at Karimjee grounds in Dar es salaam

On 02-03-2015  Muleba South member of Parliament  Hon. Prof Anna Tibaijuka  was among the mourners to pay the last respects to the body of  Mbinga North Member of parliament,  late Capt John Komba at Karimjee grounds in Dar es salaam .The event  was attended by  government officials led by Tanzania president, Hon Jakaya Kikwete  (Photo by Noel Mubeya) Venue: Karimjee […]

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya