Prof  Anna Kajumulo Tibaijuka
Archive for: October, 2012

Mh. Prof. Anna Tibaijuka akizindua mradi mpya wa kilimo kwanza jimboni Muleba Kusini

  Katika picha ni Mh. Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini  ambaye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizindua, akisimamia na kuratibu mradi mpya wa Kilimo kwanza ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo na kuwafanyia majaribio vijana waliofika katika uzinduzi huo  jimbo mwake Muleba Kusini. Share on:

Photo Gallery

Log in | This website is Designed & Maintained by Noel Mubeya