Tarehe 15-03-2016 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa atoa pole kwa Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka kwa kufiwa na mama yake mzazi Ma Aurelia Kajumulo.Waziri mkuu aliongozana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Dk. Medard Kalemani na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.



