Prof. Anna Tibaijuka aweka wazi mtazamo wake kuhusu uuzwaji wa dhahabu katika mahojiano na Crown Radio, akijibu maswali ya mwandishi Salim Kikeke.