Vikundi vya maendeleo ya kijamii kutoka kata 14 za jimbo la muleba kusini vilifika nyumbani kwa Prof Anna Tibaijuka kumtembelea na kumchangia pesa tsh 555,500/=kwa ajiri ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Muleba kusini .Kila kikundi kilituma muwakilishi mmoja nyumbani kajumulo faundition kagabiro tarehe 6/7/2015