Mbunge wa jimbo la Muleba kusini Profesa Anna Tibaijuka, amesema Tanganyika haiwezi kuimeza kiuchumi Zanzibar, na kuwataka wabunge wa kambi ya upinzani, kupelekea bungeni hoja za kujenga umoja wa watanzania na si kubomoa.