Mbunge wa Muleba Kusini Mh. Prof Anna Tibaijuka ,ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa maendeleo ya manispaa ya Bukoba,Bukoba Municipal Developmental Conference(BUMUDECO) uliyofanyika tarehe 27-12-2015 mjini Bukoba.Walioudhulia mkutano huo ni pamoja na mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh.Wilfred Lwakatare,Bw. James Rugemalila,Askofu Methodius Kilaini pamoja na wadau wengineo wa maendeleo(Picha na Mansoor Amri Kahauza)