Prof. Anna Tibaijuka, Mgeni Rasmi wa Tamasha la #MkatolikiConcert
Mgeni Rasmi wa Tamasha la #MkatolikiConcert 2026, Prof. Anna Tibaijuka, akifuatilia kwa umakini maonyesho na ujumbe mbalimbali uliowasilishwa wakati wa tamasha hilo lililofanyika tarehe 21 Juni 2026 katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.