Mgombea ubunge jimbo la Muleba kusini kwa tiketi ya CCM Prof. Tibaijuka akiwautubia maelfu ya wakazi wa kata ya Kishanda katika mfululizo wa kampeni za uchaguzi 2015.Pamoja na kuhutubia Prof Tibaijuka alimnadi mgombea udiwani wa kata hiyo ndugu Denis Charles Mtajwaa