Muanzilishi wa Baraza la Wanawake Tanzania(BAWATA) Prof Anna Tibaijuka (mb) amekutana na waasisi wa BAWATA Kinondoni Dar es salaam tarehe 11-01-2015.