Mh. Prof AnnaTibaijuka, mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini kwa tiketi ya CCM akiwanadi madiwani wa kata Mazinga.