Mh Prof Anna Tibaijuka(mb) akiwa katika kikao cha Halmashauri ya wilaya ya Muleba
Prof Anna Tibaijuka(mb) akizungumza katika kikao cha halmashauri ya wilaya ya Muleba
Tarehe 05-02-2016 Mh Prof Anna Tibaiujuka,mbunge wa Muleba Kusini ameshiriki katika kikao cha Halmashauri ya wilaya ya Muleba kilichofanyika wilayani Muleba
Mh. Prof Tibaiujka akisalimiana na baadhi ya wajumbe.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba (kushoto) akizungumza katika kikao.Kulia ni Prof Anna Tibaijuka(mb)
Mh. Prof Tibaiujka akisalimiana na baadhi ya wajumbe.
Prof Anna Tibaijuka(mb) akizungumza katika kikao cha halmashauri ya wilaya ya Muleba