Katika picha ni Mh. Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini ambaye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizindua, akisimamia na kuratibu mradi mpya wa Kilimo kwanza ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo na kuwafanyia majaribio vijana waliofika katika uzinduzi huo jimbo mwake Muleba Kusini.Katika picha ni Mh. Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini ambaye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizindua, akisimamia na kuratibu mradi mpya wa Kilimo kwanza ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo na kuwafanyia majaribio vijana waliofika katika uzinduzi huo jimbo mwake Muleba Kusini.