Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Tibaijuka ameudhulia misa ya kumbukumbu ya mama maria Kashonda,Mbezi Beach Dar es salaam

Prof Tibaijuka akiwa na mzee Kingunge pamoja na wengineo katika misa ya kumbukumbu ya mama maria Kashonda,Mbezi beach, Dar es salaam

Prof Tibaijuka akiagwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo wakati akiondoka katika kumbukumbu ya mama maria Kashonda













