Tarehe 04-02-2016 Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka ameshiriki mazishi ya diwani wa kata ya Kimwani Marehemu Faustine Muliga (CUF)
Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka, ameshiriki mazishi ya aliyekuwa diwani kata ya Kimwani Marehemu Faustine Muliga (CUF) aliyeuawa kwa kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana.

















