Prof Anna Tibaijuka,mbunge wa Muleba Kusini ashiriki katika mkutano wa Maendeleo ya Manispaa ya Bukoba(BUMUDECO)
Mbunge wa Muleba Kusini Mh. Prof Anna Tibaijuka ,ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa maendeleo ya manispaa ya Bukoba,Bukoba Municipal Developmental Conference(BUMUDECO) uliyofanyika tarehe 27-12-2015 mjini Bukoba.Walioudhulia mkutano huo ni pamoja na mbunge wa jimbo la Bukoba mjini Mh.Wilfred Lwakatare,Bw. James Rugemalila,Askofu Methodius Kilaini pamoja na wadau wengineo wa maendeleo(Picha na Mansoor Amri Kahauza)

Prof Anna Tibaijuka,Mbunge wa Muleba Kusini akihutubia katika mkutano wa maendeleo ya manispaa ya Bukoba.















