Jumapili ya 27/12/2015 Prof Anna Tibaijuka(MB) ashiriki misa kanisa la Kasaidolo,mjini Bukoba
Mbunge wa Muleba Kusini Mh. Prof Anna Tibaijuka ameshiriki misa katika kanisa la Kasaidolo mjini Bukoba jumapili ya tarehe 27/12/2015.Baada ya misa mheshimiwa alishiriki katika kikao kilichofanyika kanisani hapo.(Picha na Mansoor Amri Kahauza)
Mh. Anna Tibaijuka katika picha ya pamoja na Askofu Methodius Kilaini,
Kulia ni Mama Rugimbana.

Prof Anna Tibaijuka(MB) akisalimiana na Bw James Rugemalila mara baada ya kutoka katika misa ya jumapili iliyofanyika kanisa la Kasaidolo,Bukoba















