Mkutano wa kampeni za mgombea ubunge Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka kijiji cha Kanyerenyere kata ya Kyebitembe
04/10/2015 Umati wa wakazi wa kijiji cha Kanyerenyere kata ya Kyebitembe wakiwa katika Mkutano wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Muleba Kusini Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka















