Ziara ya Katibu mkuu wa CCM Bw. Abdulrahman Kinana jimbo la Muleba Kusini tarehe 08/06/2015

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili kwenye Kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba mkoani Kagera 08/06/2015





















