Prof Anna Tibaijuka(Mb) atembelea Kijiji cha Kagazi kata ya Nshamba na kupokelewa na mamia ya wananchi
Mbunge wa Muleba Kusini, Prof Anna Tibaijuka siku ya tarehe 04/06/2015alitembelea kijiji cha Kagazi kata ya Nshamba na kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi.Vikundi 110 vya miradi ya maendeleo vilifika kumkaribisha

















